Jimbo la Savanes
Mandhari
Jimbo la Savanes | |
Eneo katika Côte d'Ivoire |
|
Majiranukta: 9°33′54″N 5°33′33″W / 9.56500°N 5.55917°W | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Savanes |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,607,497[1] |
Jimbo la Savanes (kwa Kifaransa: District des Savanes) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko kaskazini mwa nchi[1].
Mwaka 2014 (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014), idadi ya wakazi ilikuwa watu 1,607,497[1].
Makao makuu yako Korhogo.
Mikoa
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 1.2 "Districts of Côte d'Ivoire (Ivory Coast)". Statoids.com. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2019.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Savanes kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |